08.09.2018: HAPPY KWAYA YAGUSA MIYO YA WATU SIKU YA UZINDUZI WA MID YEAR CROSS OVER

Happy kwaya walivyoweza kumsifu Mungu kwa nyimbo ya kaubudu katika uzinduzi wa semina ya Mid Year Cross Over siku ya Jumapili 08.07.2018 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" jijin DSM. Semina hii itahitimishwa siku ya Jumapili 15.07.2018 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. Kwa siku za katikati ya wiki semina inaanza saa 9:30 alasiri kila siku hadi Jumapili. Ni siku 8 za kumshukuru Mungu kwa miezi sita iliyopita na kumkabidhi Mungu miezi sita iliyobaki kumaliza mwaka. Semina hii hufanyika mara moja tu kwa mwaka. Wanenaji ni Bishop Mhe. Dr. Gertrude Rwakatare, Bishop Dunstan Maboya, Mch. Sylvanus Komba kutoka Dodoma na wachungaji zaidi ya 10 wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Walete wenye shida mbalimba na Yesu atawatendea miujiza katika maisha yao. Ni siku ya maisha yako kuwa

Baada ya semina hii tegemea mafanikio katika maisha yako hasa ya kiroho na kimwili. Wachungaji wa Mlima wa Moto Mikocheni "B" na waumini kwa siku saba kabla ya semia kuanza walifunga na kuomba kwaajili ya watu watakaofika katika semina hii ili wakutane na mkono wa Mungu katik maisha yao.





























Comments