20.05.2018: KWAYA YA WAMAMA WA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" YAGUSA MIOYO YA WATU KATIKA IBADA YA KUIOMBEA FAMILIA

Kwaya ya wamama wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" walivyomtukuza Mungu siku ya Jumapili 20.05.2018 kwenye ibada ya KUIMBEA FAMILIA ndani ya kanisa la Mlima wa Moto MIkocheni "B"












Comments