13.05.2018: KWAYA YA WAMAMA WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" KATIKA IBADA YA UKOMBOZI WA MWANAMKE

Kwaya ya Wamama wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" walivyomsifu Mungu katika ibada ya Maombi ya UKOMBOZI WA MWANAMKE siku ya Jumapili ya Mother's day 13.05.2018. Watu tuklibarikiwa sana na ujumbe wao mzito kuhusu "Mama" na kutuhimiza watu kuangalia mbele na kumtazama Mungu na kuacha tabia ya kuangalia mambo yaliyopita na yasiyompendeza Mungu.

Kwaya ya wamama wa Mlima wa Moto Mikocheni "B"











Comments