15.10.2017: MZEE MWAKITALU ATOA "WIRELESS MIC" KWA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Mzee wa kanisa mzee Mwakitalu pamoja na mke wake walitoa "Wireless Mic" kwaajili ya kanisani. Huu ni moyo wa upendo ndani ya kanisa ambao tunahitaji kuuiga. Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare aliweza kuwaombea ili Mungu azidi kuwainua katika kazi zao, afya zao, biashara zao, huduma zao n.k. Hii ilifanyika katika ibada ya KUVUNJA NGUVU ZA UCHAWI NA UGANGA iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 15.10.2017




Comments