08.10.2017: TIBE RWAKATARE AFANYIWA MAOMBI MAALUM KATIKA IBADA YA KUVUNJA NIRA

Maombi maalum yalifanyika kwa mtoto wa Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare Bwana Tibe Rwakatare (kulia aliyeshikwa kichwa) pamoja na businss partner wake. maombi haya yalifanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 08.10.2017 katika ibada ya KUVUNJA NIRA.

Pengine na wewe unahitaji kuombewa ili Mungu afanye jambo katika maisha yako, tunakukaribisha katika ibada ya Jumapili hii saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana hapa Mlima wa Moto Mikocheni "B". Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na jopo la wachungaji wamejipanga kukuombea...

Tibe Rwakatare (kulia aliyewekewa mikono kichwani")





Comments