01.10.2017: WALIMU, WACHUNGAJI, WAGENI NA WAZEE WA KANISA WAKIWA OFISNI KWA BISHOP DR> GERTRUDE RWAKATARE BAADA YA KUHITIMISHA KONGAMANO LA WANAWAKE NA UCHUMI (WOCA)

Baada ya ibada ya kuhitimisha Kongamano la Wanawake na Uchumi la Kukomesha Kilio Cha Mwanamke lililoandaliwa na chama cha Women For Christ Alliance (WOCA), Bishop, wachungaji, walimu, wazee wa kanisa, wahudumu, wageni mbalimbali na baadhi ya waumini waliweza kufika ofisni kwa Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare kumshukuru Mungu kwa mambo makuu aliyoyafanya katika kongamano hili la siku 8. Watumishi wa Mungu waliweza kubadilishana mawazo na wengine kufamiana zaidi. Hii ilitokea siku ya Jumapili 01.10.2017

Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare









Comments